Katika kuendelea kuazimisha siku 16 za kupinga vitendo vya kikatili kwa Wanawake na Wmiatoto kauli mbiu ikiwa "Mabadiliko yanaanza na mimi" Shirika la WiLDaF ikishirikiana na mashirika mengine wameandaa mdahalo ambao unajadili jinsi gani tunaweza kuondoa vitendo hivi katika jamii zetu hasa kwa Wanawake na ni mipango gani ya kufanya baadae, mdahalo huu umeendeshwa na Watu wa Dawati la jinsia polisi, Daktari, Wakili wa mahakama na afisa ustawi wa jamii.
Kumbuka vitendo vya ukatili wa kijinsia sio Tanzania tu ni dunia kwa ujumla
#16daysTanzania