Kongamano la Maadhimisho ya siku 16 za Kupinga Ukatili wa kijinsia Duniani.Tukijadili matokeo Makuu ya Utafiti wa Rushwa ya Ngono katika taasisi ya Elimu ya juu. Ndugu Denis Lekayo mwendesha mashitaka wa Takukuru ametoa ufafanuzi wa repoti ya Utafiti huo uliofanyika Chuo kikuu cha Dodoma na Dar es salam.