FAQ   |   Webmail
  • All children have equal rights
  • All children should be encouraged to fulfill their potential
  • Everybody has a responsibility to support the care and protection of children.
  • The child's views should be taken into account where major decisions are to be made about his or her future
  • Organizations working with children have a duty to care for children
Recent News
Events Calendar

Print
Novemba 25/11/2020 ni kilele cha Kampeni ya SIKU 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia

Novemba 25/11/2020 ni kilele cha Kampeni ya SIKU 16 Kupinga #UkatiliWakijinsia . KAULI MBIU "Tupinge #UkatiliWakijinsia Mabadiliko yanaanza na Mimi"

#InaanzaNaMimi

KIWOHESE kwa kushirikiana na Terre Des Homesnl tumeshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya SIKU 16 za Kupinga Ukatili Wakijinsia (dhidi ya Wanawake na Watoto).

Katika Picha ni Maandamano yaliyoanzia Grand hall na kuishia viwanja vya Furahisha.Copyright © 2021 KIWOHEDE. All Rights Reserved.