FAQ   |   Webmail
  • All children have equal rights
  • All children should be encouraged to fulfill their potential
  • Everybody has a responsibility to support the care and protection of children.
  • The child's views should be taken into account where major decisions are to be made about his or her future
  • Organizations working with children have a duty to care for children
Recent News
Events Calendar

Print
SIKU YA KITAIFA YA MTOTO WA KIKE DUNIANI 11OKTOBA 2020

Leo (11.10.2020 Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike (inajulikana pia kama Siku ya Wasichana; kwa Kiingereza: International Day of the Girls Child) ni siku iliyopangwa na Umoja wa Mataifa katika kuendeleza harakati za usawa wa kijinsia na kuongezea uwezo wa watoto wa kike pamoja na haki zao, kama vile, usawa wa kijinsia, haki ya elimu, haki ya kulindwa dhidi ya ubaguzi, haki za matibabu, kuepushwa na ndoa za lazima na haki nyinginezo. Pia siku hiyo huelezea mafanikio ya watoto wa kike na wanawake kwa jumla.

Maadhimisho haya Kitaifa yamefanyika katika Ukumbi wa karimjee Jijini Dar es salam. Mgeni Rasmi wa haya ni Dkt John Jingu Katibu Mkuu Wizara ya Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto.

Alitoa wito kwa jamii "Shughuli ya kumlinda na kumlea Mtoto wa Kike ni shughuli ya Nchi yote, kutoka katika ngazi ya Serkali, Mashirika yasiyo ya Kiserikali, Wazazi/Walezi na Jamii kwa ujumla."

KAULIMBIU "Kauli Mbiu

 1.Kaulimbiu ya Kimataifa " My Voice, Our Equal Future"

2.Kaulimbiu ya Kitaifa "Tumwezeshe Mtoto wa Kike; Kujenga Taifa lenye Usawa"
Copyright © 2020 KIWOHEDE. All Rights Reserved.