FAQ   |   Webmail
  • All children have equal rights
  • All children should be encouraged to fulfill their potential
  • Everybody has a responsibility to support the care and protection of children.
  • The child's views should be taken into account where major decisions are to be made about his or her future
  • Organizations working with children have a duty to care for children
Recent News
Events Calendar

Print
Mradi wa kuwezesha #UsawaKijinsia na Kupinga #UkatiliWakijinsia kwa wanawake na wasichana Rika Balehe

KIWOHEDE Ufadhili wa UNFPA Tanzania na mshirika wake UN WOMEN kwa fedha kutoka Koica Fellowship Community wamekuwa katika Kipaumbele cha kutekeleza Mradi wa kuwezesha #UsawaKijinsia na Kupinga #UkatiliWakijinsia kwa wanawake na wasichana Rika Balehe katika almashauri ya Msalala kata ya Shilela Lunguya na Bugarama.
Zoezi la utambuzi wa wasichana limefanikiwa kwa Msaada Mkubwa wa RCDO, DCDO,WEOs ,VEOs na WDCDOs Mafunzo ya awamu yamefanyika na wasichana sabini na tano watajiunga na Vyuo vya mafunzo. 
#TuwapendeTuwalindeTuwajali 
#PigaUkatiliWaKijinsia 


Copyright © 2020 KIWOHEDE. All Rights Reserved.