FAQ   |   Webmail
  • All children have equal rights
  • All children should be encouraged to fulfill their potential
  • Everybody has a responsibility to support the care and protection of children.
  • The child's views should be taken into account where major decisions are to be made about his or her future
  • Organizations working with children have a duty to care for children
Recent News
Events Calendar

Print
MKUTANO WA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA USTAWI WA JAMII DAR ES SALAAM

Mkutano wa siku mbili tarehe 16 na 17 septemba 2020 ulioandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es salam.Lengo ni Kuwajengea uwezo Maafisa Ustawi wa Jamii mkoa Dar es salam pamoja na wadau wote wanaohusika na Maswala ya watoto na #UkatiliWakijinsia. 
Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala. 
Hapa akikagua na kujionea ubunifu wa hali ya Juu wa kazi za mikono uliotumiwa na watoto wa KIWOHEDE BUNJU katika banda la KIWOHEDE. Copyright © 2020 KIWOHEDE. All Rights Reserved.