FAQ   |   Webmail
  • All children have equal rights
  • All children should be encouraged to fulfill their potential
  • Everybody has a responsibility to support the care and protection of children.
  • The child's views should be taken into account where major decisions are to be made about his or her future
  • Organizations working with children have a duty to care for children
Recent News
Events Calendar
Photo Gallery

Album:           EIDRH-PROJECT

Description: Shirika la Kiota women’s health and development kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children wana tekeleza mradi wa miaka miaka miwili, wa kupambana na kutokomeza mila na desturi kandamizi katika kata 8 za Halmshauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga. Kata hizo ni Ukune, Kisuke, Uyogo, Ushetu, Ulowa, Ulewe, Kinamapula na Bulungwa. Mradi huu ulianza mwezi wa 8 mwaka 2017 na unaendelea mpaka mwezi wa 8 mwaka 2019. Washiriki katika mradi huu ni watoto, Vijana na watu wazima. Wawezeshaji wa shughuli mbalimbali za mradi huu waliopo katika eneo la mradi ni maafisa mradi wa Shirika la KIWOHEDE ambao ni Victor Reveta na Beatrice Freedom.

Album Pictures

Design and Programming By : YouFly Co Limited Copyright © 2020 . KIWOHEDE. All Right Reserve.